HUE HUE TONANGO:34 wafa katika ajali ya basi nchini Guatemala | Habari za Ulimwengu | DW | 10.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

HUE HUE TONANGO:34 wafa katika ajali ya basi nchini Guatemala

Watu wasiopungua 34 wamekufa baada ya basi kupindukia katika korongo.

Watu wengine kadhaa walijeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea kaskazini mwa Guatemala.

Watu waliofanya juhudi za uokoaji wamesema kuwa basi hilo lilitumbukia futi mia tatu chini ya korongo hilo.Maafisa wameeleza kuwa basi ajali hiyo ilisababishwa na ukungu pamoja na mvua.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com