HUDUMA MPYA YA UJUMBE WA SIMU YA MKONONI | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.09.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

IDHAA YA KISWAHILI

HUDUMA MPYA YA UJUMBE WA SIMU YA MKONONI

Huduma hii ni kwa wateja wa Tanzania kwa ushirikiano wa Vodacom

default

Kuwa mmoja wa wadau wapatao milioni 90 wa Kituo cha habari cha Deutsche Welle! Tuma maneno DW HABARI WASHA kwenda 15511 na daima uwe wa kwanza kujua habari kila zinapotokea. Kila ujumbe ni Shilingi 200 tu.

Usibaki nyuma! Pata habari kemkemu! Tuma DW SPOTI WASHA kwenda 15511 upokee habari za michezo kutoka kituo cha habari cha Deutsche Welle! Kila ujumbe ni Shilingi 200 tu.

Habari za kila siku za DW


Ili kupata habari za kila siku mteja anapaswa kuandika DW HABARI kupitia namba 15511.

Kupata huduma hii andika DW HABARI WASHA kupitia namba 15511.

Kusitisha huduma andika DW HABARI ZIMA kupitia namba 15511.

Taarifa ya Michezo ya kila siku

Ili kupata taarifa ya Michezo mteja anapaswa kuandika DW SPOTI kupitia namba 15511.

Kupata huduma hii andika DW SPOTI WASHA kupitia namba 15511.

Kusitisha huduma hii andika DW SPOTI ZIMA kupitia namba 15511.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com