HONIARA:Waathirika wa tsunami katika visiwa vya Solomon waanza kusaidiwa | Habari za Ulimwengu | DW | 03.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

HONIARA:Waathirika wa tsunami katika visiwa vya Solomon waanza kusaidiwa

Misaada ya dharura imeanza kuwasili katika visiwa vya Solomon vilivyokumbwa na tufani ya tsunami.

Boti iliyobeba vyakula na mahitaji mengine ya dharura iliwasili huko magharibi mwa jimbo la Gizo.

Kiasi cha watu 20 waliuawa na mamia kadhaa hawana makazi baada ya tsunami kuvikumba visiwa hivyo hapo jana.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com