1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu yaongezeka kuhusu mvutano kati ya Urusi na Ukraine

Daniel Gakuba6 Desemba 2021

Habari na tetesi za vita zimehanikiza kwa mara nyingine katika vyombo vya habari, juu ya uwezekano wa Urusi kuivamia Ukraine, huku jumuiya ya ushirikiano wa kiulinzi ya NATO ikijitutumua na kuionya Urusi kuwa endapo itachukua hatua kama hiyo itakuja kujutia uamuzi wake. Swali gumu zaidi ni je, kweli Urusi inadhamiria kuishambulia Ukraine? Kwa mengi zaidi sikiliza makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/43u8I