Hofu juu ya Facebook kugeuka Fakebook katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya | Matukio ya Kisiasa | DW | 09.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hofu juu ya Facebook kugeuka Fakebook katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya

Wakati uchaguzi wa Bunge la Ulaya wa Mei 23-26 ukikaribia, kuna wasi wasi kwamba mitandao ya kijamii, na hususan Facebook inaweza kutumiwa kama mkondo wa kusambaza habari za kupotosha na za uongo.Tayari ilikwishadhihirika kuwa Urusi iliitumia mitandao kuwapotosha wapigakura wa Marekani katika uchaguzi wa 2016 uliompa ushindi Donald Trump. Sikiliza zaidi katika makala hii ya Mwangaza wa Ulaya.

Sikiliza sauti 09:48