1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

HIV/AIDS: Sio tena hukumu ya kifo

Sylvia Mwehozi
8 Januari 2019

Watu milioni 26 afrika wanaishi na HIV, lakini ni asilimia 75 pekee wanaotambua hali zao. Watu walio na maambukizi ya HIV wanaweza kuishi miaka mingi na kufurahia maisha. Mara ya mwisho umepima lini kufahamu hali yako juu ya HIV? Kama bado, nenda sasa kapime!

https://p.dw.com/p/3BBxX