1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Historia ya Ujerumani Afrika Rwanda

19 Desemba 2018

Imepita miaka 100 tangu Ujerumani iliponyang'anywa makoloni yake ya Afrika Mashariki, baada ya kushindwa katika Vita Kuu ya Kwanza na Dunia. Katika mfululizo wa makala zetu kuhusu historia ya Ujerumani Afrika Mashariki, tunauangazia mji wa Kigali ulioasisiwa na Mjerumani Dk. Richard Kandt.

https://p.dw.com/p/3AOLo