1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Historia ya muziki wa reggae na kwa nini unapendwa Afrika?

3 Machi 2021

Je ulisikiliza muziki wa waimbaji mahiri wa reggae wakiwemo Bob Marley, Peter Tosh, Alpha Blondy na Lucky Dube tangu utotoni mwako? Leo kwenye #VijanaMubashara #77Asilimia tunaangazia historia ya muziki wa reggae ili kujua ni kwa nini muziki wenyewe ungali maarufu hadi leo hususan barani Afrika. Lakini pia tunasema makiwa kwa wapenzi wa reggae wanaomboleza kifo cha nguli wa reggae Bunny Wailer.

https://p.dw.com/p/3q9oK