Helen Joseph: Mwanaharakati aliyejitolea kupinga utawala wa kibaguzi | Asili ya Afrika | DW | 07.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Helen Joseph: Mwanaharakati aliyejitolea kupinga utawala wa kibaguzi

Helen Joseph mzaliwa wa Uingereza na kama mzungu alikuwa na kila sababu ya kuishi maisha mazuri Afrika Kusini, lakini alihatarisha maisha yake kuupinga utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo. DW inafuatilia maisha ya mwanaharakati huyo.

Tazama vidio 02:36