1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hedhi si kizuizi cha elimu Ethiopia

9 Oktoba 2018

Elimu kwa mtoto wa kike ni jambo ambalo mpaka wa leo linazua utata katika baadhi ya mataifa barani Afrika. Nchini Ethiopia katika shule ya msingi ya Sheno iliyoko katika eneo la vijijini la nchi hiyo, walimu wanafanya bidii kuleta usawa baina ya wavulana na wasichana kwenye suala la elimu.

https://p.dw.com/p/36FQk