Hebu tuizungumzie hedhi ya mwanamke | Media Center | DW | 18.11.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hebu tuizungumzie hedhi ya mwanamke

Wengine huuita ni "wakati ule wa mwezi", wengine wanasema "siku zake" na majina mengine mengi tu. Lakini ukiachana na haya yote, kuna neno moja tu, HEDHI. Unajua nini kuhusu hedhi? Mfululizo wa makala za Jinsia na Mwili zina mengi unayoweza kufaidika nayo, na hasa linapokuja suala la kuzungumza kwa uwazi na kwa kina. Ungana nasi hapa kusikiliza mengi kutoka kwa mtaalamu kuhusu HEDHI.

Sikiliza sauti 09:47