1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatimaye Lissu aondoka Tanzania

Khelef Mohammed Mohammed10 Novemba 2020

Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani cha CHADEMA, Tundu Lissu, amefanikiwa kuondoka kwenye taifa hilo takribani wiki moja baada ya kukimbilia ubalozi wa Ujerumani kuomba hifadhi akisema anahofia usalama wa maisha yake. DW Kiswahili imefanikiwa kufanya mahojiano ya kipekee na Lissu. Amesema nini? Sikiliza mahojiano hayo.

https://p.dw.com/p/3l6f3