Hatimaye Jenerali muasi Laurent Nkunda akamatwa | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 23.01.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Hatimaye Jenerali muasi Laurent Nkunda akamatwa

Baada ya kusakwa kwa muda mrefu, kiongozi wa waasi wa CNDP hatimaye amekamatwa.

Jenerali muasi Laurent Nkunda

Jenerali muasi Laurent Nkunda

Kiongozi huyo wa kundi la waasi wa CNDP Laurent Nkunda amekamatwa nchini Rwanda alipokuwa akijaribu kutoroka wakati wa operesheni ya pamoja ya kijeshi kati ya majeshi ya Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo dhidi ya wapiganaji wa kihutu wa FDLR.


Nkunda alikamatwa jana usiku kwenye mpaka wa Rwanda na Kongo wakati majeshi hayo yalipovamia ngome ya kundi la CNDP.

Maelezo zaidi anatuletea mwandishi wetu wa Goma John Kanyunyu
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 23.01.2009
 • Mwandishi Aboubakary Jumaa Liongo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/GeoC
 • Tarehe 23.01.2009
 • Mwandishi Aboubakary Jumaa Liongo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/GeoC
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com