1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatari ya matumizi ya kemikali ya Zebaki nchini Tanzania

Sylvia Mwehozi
16 Januari 2019

Wachimbaji wadogo wa madini aina ya dhahabu nchini Tanzania wameendelea kutumia kemikali hatari kwa afya ya binadamu na mazingira ya zebaki, licha serikali hiyo kuridhia mkataba wa kimataifa wa kutokomeza matumizi ya kemikali hiyo. Jiunge naye Hawa Bihoga kwa mengi zaidi katika Makala yetu leo.

https://p.dw.com/p/3BfNA