Hatari ya kutafuta maisha bora Ulaya | Media Center | DW | 24.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hatari ya kutafuta maisha bora Ulaya

Bahari ya Mediterenia imekuwa kama kaburi la halaiki kwa wahamiaji wa Afrika ambao wanatafuta kuingia Ulaya katika harakati za kutafuta maisha bora. Baada ya kusafiri mwendo mrefu kutoka nchi zilizo chini ya jangwa la Sahara wahamiaji hao wengi wao wakiwa ni vijana kutoka nchi za Afrika Magharibi, Eritrea na hata Djibouti huishia katika vituo Libya.

Tazama vidio 00:59
Sasa moja kwa moja
dakika (0)