Hatari inayowakabili watoa huduma za dharura za matibabu Afrika Kusini | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Hatari inayowakabili watoa huduma za dharura za matibabu Afrika Kusini

Matukio ya waendesha magari ya wagonjwa nchini Afrika Kusini kuwa katika hatari ya kuvamiwa kila kukicha yanaongezeka na huwalazimu kutafuta ulinzi wa polisi. Vijana Mubashara 77Asilimia inaongozana na watoa huduma wa afya wawili katika maeneo hatari ya Cape Town kuangazia tatizo hilo. #VijanaMubashara #77Asilimia

Tazama vidio 04:33