1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hands of Honour wapunguza uhalifu Cape Town

Sylvia Mwehozi
28 Oktoba 2016

Paul Talliard ameibadilisha jamii yake ya uhalifu kuwa nzuri. Kupitia mradi wake wa Hands of Honour, yaani mikono ya heshima, anawafundisha vijana wasiokuwa na ajira misingi ya useremala ambayo wanatumia katika mabaki ya mbao kutoka viwandani

https://p.dw.com/p/2RqVI