1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali yazidi kuwa tete mjini Mombasa

17 Oktoba 2012

Huko Kenya polisi waliwapiga risasi na kuwauwa watu watatu wanaoshukiwa kuwaunga mkono wapiganaji wa Al shabaab, katika mji wa Mombasa.

https://p.dw.com/p/16RKO
Mashambulizi mjini Mombasa
Mashambulizi mjini MombasaPicha: picture alliance/landov

Polisi iliwakamata watu kadhaa na kunasa maguruneti kadhaa. Kwa sasa msako wa nyumba hadi nyumba unafanywa mkoani humo. Pia polisi kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo. Eric Ponda ana ripoti kamili.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Eric Ponda

Mahariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi