1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya usalama baada ya mlipuko wa bomu uliotokea Nairobi,Kenya

12 Juni 2007

Kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea huko Nairobi nchini Kenya, Zainab Aziz alizungumza na mtaalamu wa maswala ya usalama Bwana Sirawa Walter ambaye kwanza anaelezea hali ya usalama katika jiji la Nairobi na Kenya nzima kwa jumla.

https://p.dw.com/p/CHCo