Hali ya afya ya Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar -Seif Sharif Hamad | Matukio ya Kisiasa | DW | 08.03.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Hali ya afya ya Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar -Seif Sharif Hamad

Kuna hali ya wasiwasi ambayo imejitokeza kufuatia taarifa za kuugua katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani, CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye hivi sasa amelazwa katika hospitali moja jini Dar es Salaam.

Ili kupata kujua ukweli kuhusu hali ya Maalim Seif, Josephat Chato amezungumza na Salim Bimani, katibu mwenezi wa chama cha CUF Zanzibar ambaye kwanza alikuwa na haya ya kusema.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com