Hali bado ni tete Samburu, Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 15.11.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Hali bado ni tete Samburu, Kenya

Huko nchini Kenya bado kuna hali ya wasiwasi katika eneo la Baragoi huku ikiarifiwa wakaazi wanaendelea kulihama eneo hilo.

Hali hiyo inajiri wakati kikosi cha jeshi kikisubiriwa katika eneo la Samburu ambako wezi wa mifugo wenye silaha waliwauwa maafisa wa polisi zaidi ya 40 mwishoni mwa juma lililopita. Daniel Gakuba amezungumza na mwandishi wa habari aliyeko katika eneo hilo James Munyaki na kwanza anatufahamisha zaidi juu ya hali ilivyo kwa sasa.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Daniel Gakuba

Mhariri:Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada