Hakuna kiwango salama cha unywaji pombe | Media Center | DW | 13.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hakuna kiwango salama cha unywaji pombe

Huu ni utafiti wa hivi karibuni kabisa uliochapishwa katika jarida mashuhuri la masuala ya utabibu The Lancet na kutupilia mbali fikra kuwa ulevi wa wastani unaweza kuwa na manufaa ya kiafya.Ambata naye Rashid Chilumba katika makala ya Afya yako.

Sikiliza sauti 09:45