Hadithi za Kiethiopia kwa watoto wa Ethiopia | Media Center | DW | 07.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hadithi za Kiethiopia kwa watoto wa Ethiopia

Robin Hood na Cinderella bila shaka ni hadithi nzuri za watoto, lakini je watoto wa Ethiopia au sehemu nyingine za ulimwengu wanaweza kweli kujitambulisha nazo? Baada ya kuasisi kampuni ya kuchapisha vitabu ya Midako mwandishi vitabu wa Ethiopia Tsion Kiros alianzisha mfululizo wake mwenyewe wa vitabu vya watoto. Vijana Mubashara!

Tazama vidio 01:38
Sasa moja kwa moja
dakika (0)