1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa, bado ina umuhimu?

Sudi Mnette
22 Septemba 2023

Vikao vya hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa vilivyoanza rasmi Septemba 19 vimeendelea wiki hii huku kukishuhudiwa hoja tofauti. Lakini kumekuwa na maswali juu ya umuhimu wa hadhara hiyo katika ulimwengu wa sasa na swali hilo analijibu Profesa David Monda.

https://p.dw.com/p/4WhnL