Habari kwa njia ya SMS | Ujumbe wa SMS | DW | 08.10.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Ujumbe wa SMS

Habari kwa njia ya SMS

default

Wapendwa wasikilizaji,

Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle inakupatia huduma mpya !!!

Unaweza kupokea bila ya malipo yoyote kutoka Jumatatu hadi Ijumaa, taarifa fupi za habari kwa njia ya SMS kupitia simu yako ya mkononi.

Ili uweze kujisajili tutumie ujumbe mfupi mmoja wa sms kupitia nambari +49 17 71 78 77 99. Ikiwa unataka kujiondoa tutumie sms kwa kuandika JIONDOE kupitia namba hiyo hiyo.