1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Guterres: Ulimwengu washindwa kuwalinda raia kwenye mizozo

Sudi Mnette24 Mei 2023

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameonya kuwa ulimwengu umeshindwa kuwalinda raia, wanaoishi katika mazingira ya mizozo. Rekodi zinaonesha kwa mwaka 2022 Umoja wa Mataifa ulirekodi asilimia 53 ya ongezeko la vifo vya raia. Sudi Mnette amemuuliza mjuzi katika masuala ya kimataifa Ali Mali, onyo la Guterres linaleta tafsiri gani kwa usalama wa ulimwengu?

https://p.dw.com/p/4RlwF