Guterres ataka dunia iisaidie Somalia | Masuala ya Jamii | DW | 08.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Janga la njaa

Guterres ataka dunia iisaidie Somalia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameiomba jumuiya ya kimataifa kushirikiana kukomesha mateso wanayokumbana nayo wahanga wa janga la ukame katika eneo la Pembe ya Afrika hasa nchini Somalia.

Sikiliza sauti 02:03

Ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Guterres ametoa wito huo alipowahutubia waandishi wa habari katika Ikulu ya mjini Nairobi. Naye Rais Uhuru Kenyatta amekariri kwamba mpango wa kuwahamisha wakimbizi kutoka kwenye kambi za wakimbizi bado utaendelea.
 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com