1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaAfrika

Gobena Dache: Jenerali wa Menelik II wa Ethiopia

Yusra Buwayhid
22 Februari 2021

Gobena Dache alikuwa ni jenerali wa kijeshi aliyemsaidia Mfalme Mkuu wa Ethiopia Menelik wa Pili kukamata maeneo makubwa ya kusini ya kuyaunganisha nchi chini ya utawala mmoja. Lakini uongozi wa jenerali huyo haukumfurahisha kila mtu.

https://p.dw.com/p/3phiN