Gharama ya demokrasia visiwani Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 04.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Gharama ya demokrasia visiwani Zanzibar

Haki ya usalama wa mtu inahakikishwa na Tamko la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa. Msimu wa uchaguzi uwadiapo Zanzibar, watu wengi hukhofia usalama wao na kuuliza: mbona demokrasia chungu hivi?

Sikiliza sauti 09:49

Mbiu ya Mnyonge na Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com