1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana yataka adhana itumwe kwa WhatsApp

Yusra Buwayhid
18 Aprili 2018

Ghana yautaka msikiti wa Fadama mjini Accra kupunguza kelele na kuwaita waumini wake kwenda kusali kwa WhatsApp badala ya adhana ya kipaza sauti. Na hotuba ya Julius Malema wakati wa kumuaga Winnie Mandela yavuma mitandaoni.

https://p.dw.com/p/2wEhT