1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana: Usafirishaji haramu wa watu

John Juma
23 Mei 2018

Ni kwa nini baadhi ya vijana hujikuta katika mtego wa wasafirishaji haramu wa wanadamu? Je suala la kutafuta ajira na maisha mema katika nchi za ughaibuni ni sababu tosha? Katika makala ya #VijanaMubashara mwandishi wa habari wa DW Edith Kimani amezuru mji wa Accra ambako amezungumza na vijana kuhusu suala hili.

https://p.dw.com/p/2yCHg