1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana: Maonesho ya mitindo Accra "Rhythms on da Runway"

17 Desemba 2021

Waghana wanapenda mitindo. Licha ya janga la COVID-19 na athari zake kwenye sekta ya mitindo, wanamitindo wengi walipata fursa ya kuonesha ubunifu wao kwenye maonesho yaliyofanyika Accra 2021 kwa jina ‘Rythyms On Da Runway’.

https://p.dw.com/p/44SgV