1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana: Baiskeli za elektroniki zaleta mwamko mpya Accra

10 Agosti 2022

Dhiki kutokana na misongamano ya magari inawalazimu Waghana wengi kutumia baiskeli. Mwendesha baiskeli Lawrence Agyei anatengeneza baiskeli za elektroniki kutokana na mapenzi yake na nia ya kuzifanya kuwa usafiri mbadala utakaopendwa na wengi.

https://p.dw.com/p/4FN28