George Weah achaguliwa kuwa rais wa Liberia | Media Center | DW | 29.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

George Weah achaguliwa kuwa rais wa Liberia

George Weah ashinda uchaguzi wa urais Liberia na wafuasi wake washerehekea kwa nderemo na vifijo. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akabiliwa na shinikizo la kisiasa wengi wamtaka asihudumu muhula wa nne.China yapiga marufuku biashara ya pembe za Ndovu na bidhaa zake.

Tazama vidio 02:00