1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gavana wa zamani wa Nairobi avujisha mawasiliano ya siri

26 Novemba 2021

Siku za hivi karibuni, gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko amekuwa akifichua yale anayodai ni ufisadi na uozo katika idara ya mahakama nchini Kenya. Madai ya ufichuzi wake ni kwa njia ya video na sauti zilizonaswa. Ni hatua ambayo imeibua gumzo. John Juma amezungumza na mchambuzi wa masuala ya sheria Bobby Mkangi kupata tathamini ya ksheria juu ya mwenendo huo wa Sonko.

https://p.dw.com/p/43WXE