FLORIDA: mwanafunzi ashambuliwa na papa dume! | Habari za Ulimwengu | DW | 19.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

FLORIDA: mwanafunzi ashambuliwa na papa dume!

Mwanafunzi mmoja wa chuo alieshambuliwa na papa ameshonwa mara 100 ili kutibu majeraha 17. Wataalamu wanatuhumu kuwa mwanafunzi huyo ,mwanamke alieponea chupuchupu alishambuliwa na papa dume.

Meno ya papa huyo yalikaribia mapafu ya mwanafunzi huyo lakini alibahatika kwamba mnyama huyo hakuweza kuvishambulia viungo muhimu vya mwili wake.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com