Flora Nwapa: Mama wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika | Media Center | DW | 28.04.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Flora Nwapa: Mama wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika

Mwandishi wa Kinaijeria Flora Nwapa ni mwanamke wa kwanza wa Kiafrika kuchapisha kitabu kwa Kiingereza. Kazi yake ilisafisha njia kwa wanawake wengine Afrika.

Sikiliza sauti 03:07