1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Filamu ya "Royal Tour" yazinduliwa Tanzania

Veronica Natalis
28 Aprili 2022

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amezindua filamu iliyopata umaarufu ya the Royal Tour nchini Tanzania, huku akisema nchi yake sasa imeweka mikakati mipya na taifa kubwa la Marekani ya kushirikiana katika uwekezaji na biashara tofauti na ilivyokuwa hapo awali. Isikilize ripoti yake Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/4AZzG