Feri mbili zaanza kufanya kazi katika kivuko cha Likoni, Mombasa | Masuala ya Jamii | DW | 14.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Feri mbili zaanza kufanya kazi katika kivuko cha Likoni, Mombasa

Kivuko cha Likoni kimekabiliwa na msongamano mkubwa wa magari hivyo kuathiri biashara ya utalii katika hoteli zilizoko kusini mwa jiji la Mombasa

Huduma za uchukuzi katika kivuko cha Likoni mjini Mombasa, Kenya sasa zinatarajiwa kuimarika baada ya feri mbili kubwa zilizoundwa nchini Ujerumani kukabidhiwa rasmi kwa serikali ya Kenya.

Feri hizo mbili zilizowasili nchini humo wiki mbili zilizopita, zinatarajiwa kupunguza kwa kiwango kikubwa msongamano, mbali na kuimarisha uchumi na biashara baina ya Kenya na Nchi Jirani ya Tanzania. Mwandishi wetu Eric Ponda kutoka Mombasa na taarifa zaidi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 14.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NqZj
 • Tarehe 14.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NqZj

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com