FC Bayern yapigwa mabao 4 na Real Madrid | Michezo | DW | 30.04.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Michezo

FC Bayern yapigwa mabao 4 na Real Madrid

Katika michezo,katika duru ya pili wa mechi za kufuzu fainali za kuwania kombe la mabingwa barani Ulaya Champions League iliyochezwa hapo jana usiku,Bayern waliadhibiwa vikali na Real Madrid mabao manne kwa bila.

Real Madrid waliwacharaza wenyeji wao kupitia mabao yaliyofungwa na Sergio Ramos aliyefunga mabao mawili ya kichwa kabla ya mchezaji mahiri Christiano Ronaldo kuifungia Real mabao mengine mawili na kudidimiza ndoto ya Bayern Munich ambao ni mabingwa wa ligi ya Ujerumani Bundesliga. Huko katika eneo la Bayern kulikopigwa kipute Sudi Mnette amezungumza na Mdau wa Soka Salim Malumbo, kwanzaailitaka kujua anazungumziaje kipigo hicho? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada