FBI yakanusha tuhuma za Trump dhidi ya Obama | Media Center | DW | 06.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

FBI yakanusha tuhuma za Trump dhidi ya Obama

Mkurugenzi wa FBI James Comey amekanusha madai yaliotolewa na Rais Donald Trump kuwa Rais Obama aliagiza udukuzi ufanyike kwenye jengo lake la Trump Tower wakati wa uchaguzi. Ujerumani imekasirishwa na matamshi ya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kuilinganisha na utawala wa kinazi. Na viongozi wa Amerika Kusini wamemkumbuka rais wa zamani wa Venezuela Hugo Chavez.

Tazama vidio 02:27
Sasa moja kwa moja
dakika (0)