1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fatma Karume achambua muono wake kuelekea TLS

Mohammed Abdulrahman
10 Aprili 2018

Wakili wa kujitegemea nchini Tanzania, Fatma Karume, anawania nafasi ya urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) ambayo kwa sasa inashikiliwa na Tundu Lissu, na Kinagaubaga inazungumza naye kuhusu muelekeo na muono wake endapo akichaguliwa na wanasheria wenziwe.

https://p.dw.com/p/2vnkF