1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Fatima al-Fihri: Mwasisi wa chuo kikuu kikongwe duniani

Yusra Buwayhid
28 Aprili 2020

Katika mji wa Fez nchini Morocco, Fatima al-Fihri alijenga msikiti uliokuja kuwa chuo kikuu maarufu cha al-Qurawiyyin. Leo hii kinatambuliwa kama chuo kikuu kikongwe zaidi ulimwenguni kinachoenedelea kutoa masomo.

https://p.dw.com/p/3bVLG