1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Familia ya Rajabu yataka usalama ndugu yao atakapoachiwa

John Juma / MMT17 Januari 2022

Miongoni mwa wafungwa wa gereza la Guantanamo Bay wanaotarajiwa kuachiliwa huru kulingana na majina yaliyochapishwa na wizara ya Ulinzi ni Mkenya Mohammed Abdul Malik Rajabu, aliyekamatwa mwaka 2007. John Juma amezungumza na Mwajuma Rajab ambaye ni dada yake Mohammed Abdul Malik. Wito wake ni usalama kwa ndugu yao hata atakapoachiwa huru.

https://p.dw.com/p/45d8n