1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi vikiwemo vya mafuta

4 Mei 2022

Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imezindua leo mipango ya kutangaza kwa awamu marufuku ya mafuta ya Urusi kama sehemu ya msururu mpya wa vikwazo vipya vya kuiadhibu Moscow kwa kuivamia Ukraine. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4Ape5