Ethiopia dhidi ya ndoa za utotoni | Media Center | DW | 06.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ethiopia dhidi ya ndoa za utotoni

Filamu ya katuni yatowa mafunzo kabambe kwa watoto wa Ethiopia juu ya kupambana na ndoa za utotoni za kulazimishwa

Tazama vidio 03:40

Ni filamu ya katuni ya kusisimua kwa jina Tibeb Girls kutoka Ethiopia inayowapa mafunzo mengi watoto wa shule kuhusu kupambana na ndoa za kulazimishwa.