Ethiopia: Abai Schulze aleta ubunifu na ajira kwa vijana | Anza | DW | 09.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Ethiopia: Abai Schulze aleta ubunifu na ajira kwa vijana

Kuanzisha kampuni yake ya mitindo, na nembo yake kibiashara ''Made in Ethiopia'', ndicho kilichomfanya Abai Schulze kurudi nyumbani Ethiopia, kutoka Marekani alikokuwa ameishi kwa miaka mingi. Ingawa amekuwa mjini Addis Ababa kwa miaka miwili tu, biashara yake ya mikoba imetamba kwenye maonyesho ya kimataifa.

Tazama vidio 03:20
Sasa moja kwa moja
dakika (0)