1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu kwa wanafunzi wa kike waliopata ujauzito

Yusra Buwayhid
3 Juni 2019

Katika kipindi cha Vijana Mubashara asilimia 77 leo tunajadili ubaguzi unaowakumba wasichana wajawazito katika mazingira ya elimu barani Afrika. wa mujibu wa Umoja wa Mataifa, bara la Afrika lina viwango vya juu vya ujauzito kwa vijana duniani. Kwa upande mwengine sheria ya kimataifa inazitaka serikali zote kutoa elimu kwa watoto wote bila ubaguzi.

https://p.dw.com/p/3Jhmd