1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu Jumla – Kipindi 9 – Magurudumu ya Gari

7 Aprili 2011

Katika kipindi hiki tutajibu maswali ambayo hakuna mtu anayeyauliza kwani kila mtu anadhani kwamba anafahamu majibu…mpaka anapoulizwa. "Kwa nini magurudumu ya gari daima ni meusi?" Ndilo swali letu katika kipindi hiki.

https://p.dw.com/p/RGEd