1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu bure kwa wanafunzi wa sekondari nchini Uganda

20 Februari 2007

Nchini Uganda jana serikali ilianza rasmi utekelezaji wa ahadi ya rais Museveni wa elimu bure kwa wanafunzi wa sekondari.

https://p.dw.com/p/CHJn
Rais Yoweri Museveni wa Uganda
Rais Yoweri Museveni wa UgandaPicha: dpa

Rais Museveni alitoa ahadi hiyo mwaka jana wakati wa kampeni zilizomuweka madarakani kufuatia ushindi dhidi ya mpinzani wake Dr. Kizya Besigye. Maelfu ya wanafunzi waliomaliza elimu ya msingi mwaka jana walianza kufaidika na mpango huo.

Abubakary Liongo alizungumza na msemaji wa wizara ya elimu ya Uganda, Aggrey Kibenge na kwanza alitaka kujua ni wanafunzi wangapii walioanza kufaidika na mpango huo wa elimu bure ya sekondari.